Event:AfroCrowd - Afrika Yetu, Utamaduni Wetu
Mandhari
Hii ni editathon itakayofanyika mnamo tarehe 5 Julai, 2025 katika ukumbi wa Seed Space Victoria, Dar es Salaanm. Editathon hii itajikita katika kutunga makala za utamaduni wa Afrika na mapishi. Orodha ya makala zinazohitajika zipo hapa ----> Wikipedia:AfroCrowd 2025/Makala