Event:AfroCrowd - Afrika Yetu, Kamusi Yetu
Hii ni editathon itakayofanyika mnamo tarehe 16 Agosti, 2025 katika ukumbi wa Seed Space Victoria, Dar es Salaanm. Editathon hii itajikita katika kuweka maingizo mbalimbali ya lugha za Kiafrika katika Wikamusi ya Kiswahili. Orodha ya ingizo zinapatikana hapa ----> Wikipedia:AfroCrowd 2025/Ingizo
*📢 Mwaliko wa Editathon ya Wikamusi – 16 Agosti 2025
Wadau wa Kiswahili na teknolojia, tunakukaribisha kwenye Editathon ya Wikamusi itakayofanyika siku ya Jumamosi, tarehe 16 Agosti 2025 katika ukumbi wa Seed Space, Victoria, jengo la Tanzanite Park, kuanzia saa 5:00 asubuhi hadi saa 8:00 mchana.
Lengo la tukio hili ni kujenga na kuimarisha kamusi ya Kiswahili kupitia mradi wa Wikimedia Foundation – Wiktionary. Hii ni fursa nzuri kwa vijana na wadau wote wa Kiswahili kuchangia maarifa, kujifunza mbinu za kuhariri, na kushiriki katika maendeleo ya lugha yetu mtandaoni.
- Mambo ya kuzingatia:**
- 🚀 Washiriki wote wanakaribishwa bila malipo
- 💻 Leta kompyuta mpakato (laptop) yako
- 🌐 Kutakuwa na intaneti na mafunzo kwa vitendo
- ☕ Vinywaji na vitafunwa vitapatikana
Njoo tuandike historia ya Kiswahili kwa pamoja! #Wikimusi #Kiswahili #Wiktionary #Wikimedia