Nenda kwa yaliyomo

Evaristo Lucidi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Evaristo Lucidi (4 Oktoba 186631 Machi 1929) alikuwa padri na kardinali wa Kanisa Katoliki kutoka Italia. Alikuwa katibu wa Apostolic Signatura kuanzia mwaka 1916 hadi 1923, na aliteuliwa kuwa kardinali mwaka 1923.[1]

  1. "Milestones". Time. 8 April 1929.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.