Evans Hunter
Mandhari
Evans Nii Oma Hunter (alifariki tarehe 4 Juni, 2013) alikuwa mwigizaji mkongwe wa Ghana, mtayarishaji, mwongozaji wa filamu na mwandishi ambaye alichangia ukuaji wa tasnia ya filamu na uigizaji nchini Ghana. [1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Graphic Showbiz".
- ↑ "Evans Hunter to be buried on August 3". Modern Ghana. 2013.