Nenda kwa yaliyomo

Eva Roos

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Eva Roos née Vedder (18721956) alikuwa msanii na mchoraji picha, hasa wa vitabu vya watoto. Inaaminika aliishi na kufanya kazi katika eneo la Hampstead la London mwishoni mwa karne ya 19 na mwanzoni mwa karne ya 20.[1]

  1. "Eva Roos (1872-1956), Home lessons". jamesalder.co.uk. Iliwekwa mnamo 2022-12-24.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Eva Roos kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.