Eusigni
Mandhari

Eusigni (252 - Antiokia, leo nchini Uturuki, 362) alikuwa jenerali mstaafu wa jeshi la Dola la Roma[1] ambaye uzeeni alifia imani ya Ukristo wakati wa dhuluma ya kaisari Juliani Mwasi [2].
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki, Kanisa la Kiorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu mfiadini.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Mabradha wa Shule za Kikristo
- Orodha ya Watakatifu Waaugustino
- Orodha ya Watakatifu Wabazili
- Orodha ya Watakatifu Wabenedikto
- Orodha ya Watakatifu Wadominiko
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
- Orodha ya Watakatifu Wajesuiti
- Orodha ya Watakatifu Wakarmeli
- Orodha ya Watakatifu Wakolumbani
- Orodha ya Watakatifu Wamersedari
- Orodha ya Watakatifu Waoratori
- Orodha ya Watakatifu Wapasionisti
- Orodha ya Watakatifu Wapremontree
- Orodha ya Watakatifu Waredentori
- Orodha ya Watakatifu Wasalesiani
- Orodha ya Watakatifu Waskolopi
- Orodha ya Watakatifu Wateatini
- Orodha ya Watakatifu Watrinitari
- Orodha ya Watakatifu Watumishi wa Maria
- Orodha ya Watakatifu Wavinsenti
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Martyr Eusignius of Antioch". Ancient Faith Radio. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-04-17. Iliwekwa mnamo 30 Oktoba 2014.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Martyr Eusignius of Antioch". Orthodox Church of America. Iliwekwa mnamo 30 Oktoba 2014.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |