Nenda kwa yaliyomo

Eugeniusz Juretzko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Eugeniusz Juretzko (25 Desemba 193916 Januari 2018) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki.

Juretzko alizaliwa Polandi na aliwekwa wakfu kuwa kasisi mwaka 1964. Alitumikia kama askofu wa Jimbo Katoliki la Yokadouma, Cameroon, kuanzia mwaka 1991 hadi 2017.[1]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.