Nenda kwa yaliyomo

Eugenio Ravignani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Eugenio Ravignani (10 Desemba 19327 Mei 2020) alikuwa askofu wa Italia wa Kanisa Katoliki.

Ravignani alizaliwa Italia akapadrishwa mwaka 1955. Alihudumu kama askofu wa Jimbo Katoliki la Vittorio Veneto, Italia, kuanzia 1983 hadi 1997 na baadaye kama askofu wa Jimbo Katoliki la Trieste, Italia, kutoka 1997 hadi 2009. [1][2]

  1. Diocese of Trieste
  2. "CHIESA: è morto mons. Eugenio Ravignani, vescovo di Vittorio dal 1983 al 1996". La Nazione (kwa Kiitaliano). 7 Mei 2020.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.