Eugenio Dal Corso
Mandhari
Eugenio Dal Corso (16 Mei 1939 – 20 Oktoba 2024) alikuwa mchungaji wa Kanisa Katoliki kutoka Italia ambaye aliongoza dayosisi mbili nchini Angola. Alikuwa Askofu Msaidizi na Askofu wa Saurimo kutoka 1996 hadi 2008 na Askofu wa Benguela kutoka 2008 hadi 2018.
Alikuwa mwanachama wa Shirika la Watumishi Maskini wa Maongozi ya Kimungu (Poor Servants of Divine Providence) na alifanya kazi kama mmisionari nchini Argentina na Angola kuanzia 1975 hadi 1996.
Papa Fransisko alimteua kuwa kardinali tarehe 5 Oktoba 2019.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Il Papa nomina cardinal il "Veronese" mons. Eugenio Dal Corso". Verona Sera. 1 Septemba 2019. Iliwekwa mnamo 2 Septemba 2019.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |