Nenda kwa yaliyomo

Eugene Nugent

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Eugene Martin Nugent (amezaliwa 21 Oktoba 1958) ni askofu mkuu wa Kanisa Katoliki kutoka Eire ambaye amehudumu kama Balozi wa Papa (Apostolic Nuncio) katika nchi za Bahrain, Kuwait, na Qatar tangu Januari 2021.[1]

  1. "Gort an Doire/Gortaderry". logainm.ie (kwa Kiayalandi). Iliwekwa mnamo 2023-03-07.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.