Eugène Tisserant
Mandhari
Eugène-Gabriel-Gervais-Laurent Tisserant (24 Machi 1884 – 21 Februari 1972) alikuwa prelati na kardinali wa Ufaransa katika Kanisa Katoliki.
Alipandishwa hadi hadhi ya kardinali mwaka 1936, na alikuwa mshiriki mashuhuri wa muda mrefu wa Curia ya Roma.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "The Cardinals of the Holy Roman Church – June 15, 1936". cardinals.fiu.edu. Iliwekwa mnamo 2021-12-26.
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |