Etna

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Etna ikiwa na Catania kwa nyuma.
Etna nyuma ya milima Peloritani.
Hoteli Sapienza, inayofikiwa na watalii wengi.
Theluji inatumika kwa mchezo wa ski.

Etna (kutoka Kilatini: Aetna; kwa Kiitalia pia Mongibello; kwa Kisisili Mungibeddu au â Muntagna) ni volkeno hai wa Sicilia mashariki (Italia) kati ya miji ya Catania na Messina. Ndiyo ndefu kuliko zote za Ulaya,[1] kwa sasa mita 3329 juu ya usawa wa bahari[2].

Etna inaenea katika kilometa mraba 1190 ukiwa na duara ya km 140 miguuni pake. [3]

Etna inakadiriwa kuwa na miaka 350,000 - 500,000 na ni kati ya volkeno hai zaidi duniani, kwa kuwa haitulii karibu kamwe, lakini kwa namna yake si hatari. Lava yake inageuka baada ya miaka kadhaa kuwa nzuri sana kwa kilimo.

Mnamo Juni 2013 iliingizwa na UNESCO katika orodha ya urithi wa dunia.[4]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. http://www.volcano.group.cam.ac.uk/volcanoes/etna/
  2. The elevation varies with volcanic activity. The volcano last erupted on the 4th of December 2015 .It is frequently given as 3,350 m (10,990 ft), but many sources that support this concede that it is approximate. The coordinates given, which are consistent with SRTM data, are from a 2005 GPS survey. The elevation data are based on a LIDAR (Light Detection and Ranging) survey carried out in June 2007, see Neri, M. (2008), "The changing face of Mount Etna's summit area documented with Lidar technology", Geophysical Research Letters 35: L09305, Bibcode:2008GeoRL..3509305N, doi:10.1029/2008GL033740 
  3. Italy volcanoes and Volcanics. USGS.
  4. Mount Etna Becomes a World Heritage Site, Italy Magazine, 4 May 2013 

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Italy looking like the flag.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Etna kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.