Esther Mwaikambo
Mandhari
| Esther Daniel Mwaikambo | |
|---|---|
| Alizaliwa | 1940 |
| Nchi | Mtanzania |
| Kazi yake | Daktari wa magonjwa ya watoto |
Esther Daniel Mwaikambo (alizaliwa 1940)[1] ni daktari wa nchini Tanzania aliyebobea katika tiba ya magonjwa ya watoto wadogo.
Anafanya kazi katika Chuo Kikuu cha Makumbusho ya Hubert Kairuki (The Hubert Kairuki Memorial University)[2].
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-10-26. Iliwekwa mnamo 2018-09-09.
- ↑ http://maternityafrica.org/professor-esther-mwaikambo/
| Makala hii kuhusu wasifu wa Mtanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |