Espargos
Mandhari
Espargos ni mji wa jamhuri ya Cabo Verde iko kisiwani Sal.
Ukiwa na wakazi 17,081 (2010) ni mji mkubwa wa tatu nchini.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Espargos kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |