Esme Sophia Isaack
Mandhari
Esme Sophia Isaack (amezaliwa 30 Mei 1967 huko Mariental) ni mwanasiasa wa Namibia.[1]
Aliwahi kuhudumu kama Gavana wa Mkoa wa Hardap kuanzia mwaka 2015 hadi 2020.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ The Namibian (2015-04-10). "President announces governors". The Namibian (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2026-05-20.
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Esme Sophia Isaack kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |