Nenda kwa yaliyomo

Ernesto Vecchi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ernesto Vecchi (4 Januari 193628 Mei 2022) alikuwa askofu msaidizi wa Kanisa Katoliki kutoka Italia.

Vecchi alizaliwa Italia na aliwekwa kuwa padre kwa Jimbo Kuu Katoliki la Bologna, Italia, mwaka 1963. Alihudumu kama askofu wa jimbojina la Lemellefe na kama askofu msaidizi wa Jimbo Kuu la Bologna kuanzia 1998 hadi kustaafu kwake mwaka 2011. Vecchi pia alihudumu kama msimamizi wa kitume wa Jimbo Katoliki la Terni-Narni-Amelia, Italia, mwaka 2013 na 2014.[1]

  1. "È morto a Bologna monsignor Ernesto Vecchi". La Repubblica (kwa Kiitaliano). 28 Mei 2022. Iliwekwa mnamo 29 Mei 2022.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.