Ernestina Abambila
Mandhari
Ernestina Abambila (alizaliwa 30 Desemba, 1998) ni mchezaji wa kulipwa wa mpira wa miguu wa wanawake kutoka nchini Ghana anayekipiga katika nafasi za kiungo mshambuliaji na kiungo mkabaji kwa klabu ya mpira ya Női NB I, ETO FC Győr.
Ni mchezaji wa kwanza kutoka Ghana kufunga bao katika Ligi ya Mabingwa ya Wanawake ya UEFA. Alifanya mechi yake ya kwanza ya kimataifa ya ngazi ya juu kwa timu ya taifa ya Ghana dhidi ya Ufaransa mwaka 2017 akiwa na umri wa miaka 18.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Ghana Soccer Net (25 Julai 2016). "Ghana star Ernestina Abambila signs for Youngstown State". Ghana Soccer Net. Iliwekwa mnamo 2 Oktoba 2017.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ernestina Abambila kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |