Ernesta Drinker Ballard

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ernesta Drinker Ballard (alizaliwa 1920 – alifariki 11 Agosti 2005) alikuwa mwanaharakati wa nchini Marekani, ni miongoni wa waanzilishi wa mashirika kama National Organization for Women, National Abortion and Reproductive Rights Action League, na Pennsylvania Horticultural Society.

Ballard alikuwa mkurugenzi mtendaji wa Pennsylvania Horticultural Society]] tangu mwaka 1963 hadi 1981, alipewa sifa na The New York Times kwa kuleta Philadelphia Flower Show yake ya kila mwaka kwa umaarufu wa kimataifa.."[1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Saxon, Wolfgang. "Ernesta Drinker Ballard, 85, Horticulturist and Feminist, Dies", The New York Times, 1 September 2005. Retrieved on 27 March 2011. 
  2. Ciarrochi, Lillian (15 August 2005). In Memoriam: Ernesta Drinker Ballard. National Organization for Women. Jalada kutoka ya awali juu ya 18 March 2012. Iliwekwa mnamo 27 March 2011.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ernesta Drinker Ballard kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.