Nenda kwa yaliyomo

Ernest Simoni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ernest Simoni Troshani (amezaliwa 18 Oktoba 1928) ni kardinali wa Kanisa Katoliki kutoka Albania.

Aliteuliwa kuwa kardinali katika baraza la makadinali lililofanyika tarehe 19 Novemba 2016 na Papa Fransisko.[1]

  1. "Paoline Ufficio Stampa – Don Ernest Simoni". paoline.it. 9 Oktoba 2016. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 9 Mei 2020. Iliwekwa mnamo 9 Oktoba 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.