Ernest Orlando Lawrence

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ernest Orlando Lawrence
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons


Ernest Orlando Lawrence (8 Agosti 190127 Agosti 1958) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alifanya utafiti wa fizikia ya kiini. Mwaka wa 1939 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia. Mwaka wa 1941 alifaulu kutenganisha isotopu za elementi ya urani.


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ernest Orlando Lawrence kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.