Ernest John Primeau
Mandhari
Ernest John Primeau (alizaliwa 17 Septemba 1909 – 6 Juni 1989) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki nchini Marekani. Alihudumu kama askofu wa Jimbo Katoliki la Manchester, New Hampshire, kuanzia mwaka 1960 hadi 1974.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "History of Our Diocese". Roman Catholic Diocese of Manchester. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-08.
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |