Nenda kwa yaliyomo

Ernest Borgnine

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ernest Borgnine ( alizaliwa kama Ermes Effron Borgnino; 24 Januari 1917 – 8 Julai 2012) alikuwa muigizaji wa Marekani ambaye kazi yake ilidumu kwa zaidi ya miongo sita. Alijulikana kwa sauti yake nzito lakini tulivu na tabasamu lake lenye meno yaliyopishana (gap-toothed grin) lililofanana na la “Cheshire Cat”.[1]

Ernest Borgnine alikuwa msanii maarufu ambaye alionekana mara nyingi katika vipindi vya mahojiano (talk shows) na pia kama mjumbe/jaji katika michezo mbalimbali ya televisheni (game shows).

  1. ["Ernest) Borgnine Biography". Iliwekwa mnamo 4 Oktoba 2016. {{cite web}}: Check |url= value (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ernest Borgnine kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.