Nenda kwa yaliyomo

Erika M. Anderson

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
EMA akitumbuiza katika Berghain huko Berlin tarehe 5 Mei, 2011.

Erika Michelle Anderson (alizaliwa 28 Januari, 1982) anajulikana zaidi kwa jina lake la kisanii EMA, ni mwimbaji na mtungaji wa nyimbo kutoka Marekani aliyezaliwa katika South Dakota, na sasa anaishi huko Portland, Oregon.[1][2][3][4]

  1. Breihan, Tom (Machi 9, 2011). "EMA". Pitchfork Media. Iliwekwa mnamo Machi 20, 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Neyland, Nick (Mei 10, 2011). "EMA: Past Life Martyred Saints". Pitchfork Media. Iliwekwa mnamo Mei 17, 2011.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Chester, Tim (Mei 4, 2011). "Album Review: EMA – 'Past Life Martyred Saints'". NME. IPC Media. Iliwekwa mnamo Mei 17, 2011.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. Lester, Paul (Aprili 14, 2011). "New band of the day – No 1,005: EMA". The Guardian. guardian.co.uk. Iliwekwa mnamo Mei 17, 2011.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Erika M. Anderson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.