Nenda kwa yaliyomo

Erik Prince

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Erik Dean Prince (alizaliwa Juni 6, 1969) ni mfanyabiashara nchini Marekani, ambaye ni mwanzilishi wa Blackwater.[1]Alikuwa afisa mkuu mtendaji wa Blackwater hadi 2009 na mwenyekiti wake hadi ikiuzwa kwa kikundi cha wawekezaji mwaka 2010. Prince alianzisha kampuni ya uwekezaji ya Frontier Resource Group mwaka 2012 na alikuwa mwenyekiti wa Frontier Services Group iliyoorodheshwa Hong Kong hadi 2021. Prince ni mtoto wa mhandisi na mfanyabiashara Edgar Prince, na kaka wa aliyekuwa waziri wa elimu wa Marekani Betsy DeVos.[2]

  1. ↑ "Biography - Erik D. Prince" (kwa American English). 2024-05-04. Iliwekwa mnamo 2025-06-27.
  2. ↑ "Profile: Blackwater's Restless Erik Prince". Newsweek (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo Februari 1, 2017.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Erik Prince kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.