Nenda kwa yaliyomo

Eric Schmidt

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Eric Emerson Schmidt (alizaliwa Aprili 27, 1955) ni mfanyabiashara na mhandisi wa zamani wa kompyuta nchini Marekani ambaye alikuwa afisa mkuu mtendaji wa Google kuanzia 2001 hadi 2011 na mwenyekiti mtendaji wa kampuni kuanzia 2011 hadi 2015.[1]Pia alikuwa mwenyekiti mtendaji wa kampuni mama Alphabet Inc. kuanzia 2015 hadi 2017, na mshauri wa kufundi huko Alphabet kuanzia 2017 hadi 2020. Tangu 2025, amekuwa afisa mkuu mtendaji wa Relativity Space, kampuni ya utengenezaji wa vyombo vya anga. Kufikia 2025, yeye ni mmoja wa watu tajiri zaidi duniani kulingana na Bloomberg Billionaires Index akiwa na utajiri unaokadiriwa kuwa dola bilioni 30.1.[2][3]

  1. "Eric Schmidt is stepping down as the executive chairman of Alphabet". CNBC. Desemba 21, 2017. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-12-21.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Google Biography for Dr. Eric Schmidt". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-08-03. Iliwekwa mnamo Julai 18, 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Google's Eric Schmidt Talks About How to Run the World (Not That He Wants To)". Los Angeles Times. Juni 9, 2008. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-06-12. Iliwekwa mnamo Julai 18, 2016.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Eric Schmidt kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.