Nenda kwa yaliyomo

Eric Hill

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Eric Hill (7 Septemba 1927 - 6 Juni 2014) alikuwa mwandishi na mchoraji wa vitabu vya picha vya watoto kutoka Uingereza. Alijulikana zaidi kwa mhusika wake wa mbwa anayeitwa Spot. Kazi zake zilisifiwa sana kwa michango yao katika kusoma na kuandika kwa watoto.[1]

  1. "Eric Hill | Penguin Random House". PenguinRandomhouse.com (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2020-03-30.