Nenda kwa yaliyomo

Eric Esch

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Eric David Scott Esch (alizaliwa tarehe 3 Agosti 1966),[1] anayejulikana zaidi kwa jina lake la utani Butterbean, ni Mmarekani mwenye umaarufu wa televisheni na mwanamasumbwi wa kulipwa aliyestaafu, mpiganaji wa kickboxing, mpiganaji wa mixed martial arts, na mwanamieleka wa kulipwa.


  1. [(https://web.archive.org/web/20100720060208/http://www.cagepotato.com/2008/04/12/butterbean-vs-patrick-smith-an-american-tragedy/) "Butterbean vs. Patrick Smith: An American Tragedy"]. Cagepotato.com. 23 Agosti 2008. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka [(http://www.cagepotato.com/2008/04/12/butterbean-vs-patrick-smith-an-american-tragedy/) chanzo] mnamo 20 Julai 2010. Iliwekwa mnamo 2 Agosti 2010. {{cite web}}: Check |archive-url= value (help); Check |url= value (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Eric Esch kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.