Eric Carle
Mandhari
Eric Carle (Alizaliwa 25 Juni , 1929 -Alifariki 23 Mei, 2021) alikuwa mwandishi, mbunifu na mchoraji wa vitabu vya watoto kutoka Marekani.[1] Kitabu chake cha picha The Very Hungry Caterpillar, kilichochapishwa kwa mara ya kwanza mwaka 1969, kimetafsiriwa katika lugha zaidi ya 66 na kuuzwa zaidi ya nakala milioni 50.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "The Eric Carle Museum of Picture Book Art Mourns the Loss of Co-Founder Barbara Carle". carlemuseum.org. The Eric Carle Museum of Picture Book Art. Septemba 9, 2015. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Machi 2, 2021. Iliwekwa mnamo Februari 6, 2025.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)