Equatoria ya Kati, Sudan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Ramani ya Equatoria ya Kati.

Equatoria ya Kati ilikuwa jimbo la kusini mwa Sudan. Mji mkuu ulikuwa Juba. Jimbo lilitwa "Bahr al Jabal" hadi mwaka 2006.