Eqrem Vlora
Mandhari
Eqrem Bey Vlora (1 Desemba 1885 – 30 Machi 1964) alikuwa kabaila wa Albania, mwanasiasa, mwandishi, na mmoja wa wajumbe katika Bunge la Vlorë, ambalo lilitangaza Azimio la Uhuru wa Albania mnamo tarehe 28 Novemba 1912.[1][2] Anafafanuliwa kama "Bey wa Mwisho" (Beu i Fundit), kielelezo cha aristokrasia (utabaka wa juu) wa Albania wa wakati huo, ingawa alitoka katika tabaka lililoanzishwa kwa misingi ya mfumo wa kifalme wa kijeshi wa Kiothmani.[3][4]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Michael Schmidt-Neke (16 Novemba 1987), Entstehung und Ausbau der Königsdiktatur in Albanien (1912-1939): Regierungsbildungen, Herrschaftsweise und Machteliten in einem jungen Balkanstaat (kwa Kijerumani), Oldenbourg Wissenschaftsverlag, uk. 320, ISBN 978-3486543216
{{citation}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Vlora, Eqrem (1968), Lebenserinnerungen, juz. la 1, ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-04, iliwekwa mnamo 2011-12-28,
The members of his family held this position almost without interruption from 1481 to 1828, hereditarily not de jure, but de facto.
- ↑ Qeriqi, Ahmet (2021-12-01). "Eqrem bej Vlora (1885 - 1964) atdhetar, diplomat, shkrimtar dhe historian - Radio Kosova e Lirë" (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-01-12.
- ↑ Qafoku, Roland. "Historia e hidhur e familjes së Eqrem bej Vlorës: Nga "përplasjet" me Ismail bej Vlorën, tek përndjekja nga komunizmi" (kwa Kialbania). Gazeta Panorama. Iliwekwa mnamo 2022-01-12.
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Eqrem Vlora kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |