Nenda kwa yaliyomo

Epitafyo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Epitafyo ya mwanzoni mwa karne ya 15, kwenye Trinity Lavra of St. Sergius.

Epitafyo (kutoka Kigiriki: Ἐπιτάφιος, epitáphios, au Ἐπιτάφιον, epitáphion, maana yake "juu ya kaburi"[1]) ni picha takatifu iliyochorwa katika kitambaa kipana kilichonakshiwa sana ikionyesha maiti ya Yesu, na pengine Mama yake na wahusika wengine wa mateso yake kadiri ya Injili, hasa Yohane 19:38-42. Inatumika katika liturujia ya Jumamosi Kuu katika mapokeo ya Kigiriki, lakini pia katika Kanisa la Kitume la Armenia.

Epitafyo ya Gllavenica iliyoagizwa na Gjergj Arianiti, mwaka 1373
Epitafyo ya mwaka 1599, kwenye Benaki Museum
Epitafyo ya karne ya 17, kwenye Benaki Museum)
Viktor Vasnetsov, mwaka 1896
  1. "Dictionary of Standard Modern Greek, s.v. επιτάφιος" (kwa Greek). Center for the Greek Language.{{cite web}}: CS1 maint: unrecognized language (link)

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Epitafyo kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.