Ephraim Nehemia Madeje

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Ephraim Nehemia Madeje ni mbunge wa Tanzania katika jimbo la uchaguzi la Dodoma mjini alipochaguliwa mwaka 2005 kama mgombea wa CCM kwa asilimia 91 za kura zote.

Madeje ni mzaliwa wa kijiji cha Buigiri. Alisoma BA ya uchumi kwenye Chuo Kikuu cha Dar es Salaam akafanya kazi katika Shirika la Posta la Tanzania na 1994 - 2005 alikuwa mkurugenzi wa Tume la Mawasiliano Tanzania.

Chanzo[hariri | hariri chanzo]

Administradors.png Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ephraim Nehemia Madeje kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.