Enez Mango

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Enez Mundei Mango (alizaliwa 1 Juni 1993[1] | birth_place = Kenya.) ni mwanasoka mahiri nchini Kenya anayecheza nafasi ya beki wa kushoto ya ligi kuu ya Kenya ya wanawake. vihiga Queens FC,anayecheza kama nahodha.

Kazi za Kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Mango aliichezea timu hyo kwa mara ya kwanza katika mechi ya kufukuzu kwa mataifa ya Africa 2022 dhidi ya Sudan kusin.[2].

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Enez Mango kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.