Nenda kwa yaliyomo

Eneo bunge la Alego Usonga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Eneo bunge la Alego)
Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Eneo bunge la Alego Usonga ni mojawapo ya majimbo 290 ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hilo linapatikana katika Kaunti ya Siaya na ni mojawapo ya majimbo sita ya uchaguzi katika kaunti hiyo. Linashirikisha wodi 13 za udiwani, tano kati yao zikiwachagua madiwani kwa munisipali ya Siaya na zingine saba kwa baraza la mashinani la Siaya County.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Jimbo hili lilianza wakati wa uchaguzi mkuu wa 1963, likiitwa Jimbo la Alego-Usonga.

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1963Luke Rarieya ObokKANU
1966Luke Rarieya ObokKPU
1969Peter OkudoKANUMfumo wa Chama Kimoja
1974Peter Oloo-AringoKANUMfumo wa Chama Kimoja
1979Peter Oloo-AringoKANUMfumo wa Chama Kimoja
1983Peter Oloo-AringoKANUMfumo wa Chama Kimoja
1988Peter Oloo-AringoKANUMfumo wa Chama Kimoja
1992Otieno Mak’OnyangoFord-K
1997Peter Oloo-AringoNDP
2002Samuel Arthur WeyaNARC
2007Edwin Ochieng YindaODM
Wodi
Wodi Wapiga Kura
waliojisajili
Serikali ya Mtaa
Boro East4,145Siaya county
Boro West4,163Siaya county
East Alego10,042Siaya county
Mjini6,348Munisipali ya Siaya
North Alego4,918Siaya county
Siaya Central2,032Munisipali ya Siaya
Siaya East2,701Munisipali ya Siaya
Siaya North2,974Munisipali ya Siaya
Siaya West3,740Munisipali ya Siaya
South Alego8,213Siaya county
South West Alego6,338Siaya county
Usonga4,881Siaya county
West Alego5,808Siaya county
JUmla66,303
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia

[hariri | hariri chanzo]