Eneo Bunge la Ol Kalou

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Eneo Bunge la Ol Kalou ni eneo bunge la uchaguzi nchini Kenya. Ni mojawapo wa maeneo bunge nne katika Wilaya ya Nyandarua. Eneo bunge hili lilianzishwa kwa ajili ya uchaguzi wa 1988.

Wabunge[hariri | hariri chanzo]

Mwaka wa Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1997 Karue Muriuki DP
2002 Karue Muriuki NARC
2007 Erastus Kihara Mureithi PNU

Wadi[hariri | hariri chanzo]

Wadi
Wadi Wapiga kura waliosajiliwa Mamlaka ya Mtaa
Gichungo 3,275 Mji wa Ol Kalou
Kaimbaga 2,576 Mji wa Ol Kalou
Olkalou 7,732 Mji wa Ol Kalou
Olkalou Central 5,380 Mji wa Ol Kalou
Rurii 3,867 Mji wa Ol Kalou
Dundori 12,052 Baraza la Mji wa Nyandarua
Gathanji 10,440 Baraza la Mji wa Nyandarua
Gatimu 5,965 Baraza la Mji wa Nyandarua
Kanjuiri Ridge 7,942 Baraza la Mji wa Nyandarua
Ol Joro Orok / Kasuku 12,387 Baraza la Mji wa Nyandarua
Jumla 71,616
*Septemba 2005 | [2],[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Kigezo:Wilaya ya Nyandarua

Kigezo:Maeneo Bunge katika Mkoa wa Kati (Kenya)