Enaam Elgretly

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Enaam Elgretly

Enaam Elgretly]
Amezaliwa Enaam Elgretly
6 Novemba 1944
Cairo,Misri
Jina lingine Inaam El Gretly
Kazi yake Mwigizaji
Miaka ya kazi 1966 mpka sasa

Enaam Elgretlyanajulikana kama Inaam El Gretly, ni mwigizaji kutoka Misri.

Maisha yake[hariri | hariri chanzo]

Enaam Elgretly alizaliwa huko Cairo, na pia ni dada mkubwa wa mwigizaji anayeitwa Ahlam Elgretly. Mnamo mwaka 1966 alihitimu masomo yake katika chuo cha maswala ya sanaa, Institute of Dramatic Art. Katika kipindi cha kazi kilichochukua muda wa nusu karne, alionekana mara nyingi katika mtiririko wa tamthiliya na filamu za runinga. Moja kati ya tamthiliya ya mwendelezo maarufu, Man and six women ambapo alionekana baada ya kipande cha tatu cha tamthiliya hiyo.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Kigezo:Rejea


Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Enaam Elgretly kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

No

  1. إنعام الجريتلى. elCinema.com. Iliwekwa mnamo 2013-09-02.