Emmanuele Kanyama
Mandhari
Emmanuele Kanyama (25 Desemba 1962 – 17 Februari 2018) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki.
Alipadrishwa mwaka 1990 na alihudumu kama askofu wa Jimbo Katoliki la Dedza, Malawi, kuanzia mwaka 2007 hadi kifo chake.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Diocese of Dedza, Malawi". GCatholic.
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |