Emmanuel Ramazani Shadary
Mandhari
Emmanuel Ramazani Shadary (amezaliwa 29 Novemba 1960) ni mwanasiasa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Aligombea urais katika uchaguzi wa Desemba 2018 nchini humo.[1]
Aliteuliwa baada ya mashauriano ndani ya chama tawala cha People's Party for Reconstruction and Democracy na muungano wa kisiasa wa Common Front for Congo.
Shadary ni Katibu Mkuu wa kudumu wa PPRD, na pia aliwahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "DR Congo's Kabila backs ex-interior minister for vote: spokesma". The EastAfrican (kwa Kiingereza). 2020-08-18. Iliwekwa mnamo 2026-05-26.
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Emmanuel Ramazani Shadary kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |