Emmanuel Otteh
Mandhari
Emmanuel Nwafor Otteh (1 Novemba 1927 – 27 Julai 2012) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki kutoka Nigeria.
Alizaliwa nchini Nigeria na alipadrishwa mwaka 1961. Alihudumu kama askofu wa jimbojina la Cova na askofu msaidizi wa Jimbo Katoliki la Onitsha, Nigeria, kuanzia 1990 hadi 1997.
Kisha akawa askofu wa Jimbo Katoliki la Issele-Uku kuanzia 1997 hadi alipostaafu mwaka 2003.[1][2][3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |