Nenda kwa yaliyomo

Emma Mitchell (mwanasiasa)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Emma Mitchell
Nchi Ghana
Cheo Mjumbe wa Baraza la Taifa la Ghana

Emma Mitchell ni mwanasiasa wa Ghana na mtetezi wa masuala ya jinsia.[1] Alihudumu kama Waziri wa Biashara na Viwanda wa Ghana kati ya mwaka 1993 na 1996Alimwelezea Rawlings kama mtu ambaye mtindo wake wa uongozi ulijengwa juu ya makubaliano badala ya utawala wa kiimla.

Waziri wa Biashara na Viwanda

[hariri | hariri chanzo]

Mitchell alijiuzulu kutoka serikali ya Rawlings mnamo Februari 1996.[2] Aliripoti kuwa hatua hiyo ilitokana na kutofautiana kwa maoni na Rais Jerry Rawlings. Alieleza kuwa baada ya kuondoka serikalini na ukweli wa mzozo huo kuwekwa wazi, Rawlings alimualika kurejea serikalini, lakini alichagua kubaki nje ya serikali[3]

  1. https://www.modernghana.com/news/13227/11-appointed-to-council-of-state.html
  2. https://www.ghanaweb.com/GhanaHomePage/NewsArchive/artikel.php?ID=469
  3. https://www.myjoyonline.com/i-resigned-due-to-our-differences-former-trade-minister-under-rawlings/
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Emma Mitchell (mwanasiasa) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.