Emma Cole

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Emma Cole (alizaliwa Januari 23, 1845 – amefariki 25 Aprili 1910)Cole alikuwa mwalimu wa Kiamerika, mtaalamu wa Mimea, na Mwandishi wa Grand Rapids Flora: 'Katalogi ya Mimea ya Maua na Kangaga Kukua Bila Kulima katika Maeneo ya Grand Rapids, Michigan.

Maisha ya Awali[hariri | hariri chanzo]

Emma Jane Cole alizaliwa Ohio Januari 23, 1845. Wakati wa utoto wake, familia yake ilihamia mji wa Vergennes Township, karibu na Grand Rapids, Michigan, ambako alihudhuria Shule ya umoja ya Lowellna Shule ya Upili ya Grand Rapids. Mnamo 1876, Cole alijiunga na Chuo Kikuu cha Cornell huko New York, ambacho kilikuwa kimeanza kuwapokea wanawake. Alihudhuria Cornell mnamo 1876-1877 na 1879-1880 na kumaliza kozi ya botania.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Emma Cole kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.