Emily Maractho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Amezaliwa Emily Maractho

Uganda
Majina mengine Maractho Emily Comfort
Kazi yake Muandishi wa habari

Emily Maractho (pia anajulikana kama Maractho Emily Comfort) ni Mhadhiri wa Uandishi wa habari na mafunzo ya vyombo vya habari huko Chuo Kikuu cha Christian Uganda.

Anaongoza kitivo cha uandishi wa habari, Vyombo vya Habari na mawasiliano katika chuo kikuu na idara mpya ya uandishi wa habari na Idara ya masomo.[1].

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Emily Maractho kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.