Nenda kwa yaliyomo

Emilio Butragueño

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Emilio Butragueño Santos (alizaliwa tarehe 22 Julai, 1963) ni mchezaji wa zamani wa kulipwa wa mpira wa miguu kutoka Hispania aliyekuwa akicheza kama mshambuliaji.

Anajulikana zaidi kwa kipindi chake katika klabu ya Real Madrid CF. Alipewa jina la utani El Buitre (Tai mla mizoga) na alikuwa mwanachama wa kundi la La Quinta del Buitre pamoja na Manolo Sanchís, Rafael Martín Vázquez, Míchel na Miguel Pardeza.[1][2]

  1. Suárez, Orfeo (23 Machi 2013). "La Quinta entra en los 50" [The Cohort hits 50]. El Mundo (kwa Kihispania). Iliwekwa mnamo 5 Oktoba 2019.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Final de infarto en Cádiz" [Mad finale in Cádiz]. Mundo Deportivo (kwa Kihispania). 6 Februari 1984. Iliwekwa mnamo 6 Februari 2014.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Emilio Butragueño kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.