Emiline Rakotobe
Mandhari
Emiline Rakotobe ni mwanasiasa kutoka Madagascar. Amewahi kuwa mjumbe wa Baraza la Seneti la Madagascar akiwakilisha eneo la Alaotra Mangoro, na ni mwanachama wa chama cha kisiasa cha Tiako I Madagasikara.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Sénatoriales: plus que deux provinces sans candidat". NewsMada (kwa Kifaransa). 12 Oktoba 2020. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 30 Oktoba 2020. Iliwekwa mnamo 23 Februari 2021.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Emiline Rakotobe kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |