Emerson Aparecido Leite de Souza Junior

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Emerson Aparecido Leite de Souza Junior (anajulikana kama Emerson; alizaliwa 14 Januari 1999) ni mchezaji wa soka wa Brazil ambaye anacheza kama beki wa nyuma wa timu ya Barcelona F.C..

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Emerson Aparecido Leite de Souza Junior kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.