Emeka Okereke
Mandhari
Emeka Okereke (alizaliwa 1980) ni mpiga picha wa Nigeria, mtengenezaji wa filamu, mwandishi na msanii wa taswira ambaye anliishi na kufanya kazi Lagos na Berlin.
Okereke ndiye mwanzilishi mwenza wa Invisible Borders Trans-African Photographers Organization.[1]
Mnamo 2018, alipokea Chevalier des Arts et Lettres kutoka kwa Serikali ya Ufaransa.[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Kermeliotis, Teo (24 Julai 2013). "Road trip through Africa's 'invisible borders'". CNN.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Emeka Okereke awarded by Ministry of Culture of France – Contemporary And". contemporaryand.com.
| Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Emeka Okereke kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |