Elsie Kenza

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Elsie Kenza ni mwanauchumi Mtanzania aliyezaliwa Kenya ambae ni kiongozi wa World Economic Forum[1].

Elimu yake[hariri | hariri chanzo]

Alipata elimu nchini Marekani na Kenya. Alipokea Shahada ya Usimamizi wa Biashara Wa Kimataifa katika Chuo cha United States International University-Africa.

Pia alipata Shahada ya uzamili ya Uchumi wa Maendeleo katika chuo cha Williams College nchini Marekani.

People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Elsie Kenza kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. http://www.lionessesofafrica.com/blog/2016/5/18/quote-of-the-day-by-elsie-kanza