Elpidia Carrillo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Elpidia Carrillo
Elpidia Carrillo
Elpidia Carrillo
Jina la kuzaliwa Elpidia Carrillo
Alizaliwa 16 Agosti 1961
Mexiko
Kazi yake mwigizaji filamu wa Mexiko

Elpidia Carrillo (amezaliwa Parácuaro, Michoacán, Mexiko, 16 Agosti 1961) ni mwigizaji filamu wa Mexiko, aliyeonekana zaidi katika filamu mbambalimbali za Hollywood, Marekani. Vilevile kuna baadhi ya filamu alizokuwa akiigiza na kutumia jina lilelile la kuzaliwa Elpedia Carrillo.

Carrillo alianza kujibebea umaarufu mnamo mwaka 1986 baada ya kucheza kama "Maria" katika filamu ya Salvador, ambapo alicheza na nyota mwingine maarufu bwana James Woods. Vilevile amewahi kucheza filamu ya Predator, aliocheza nyota Arnold Schwarzenegger, pia amewahi kushirikiana na Jimmy Smits na waigizaji wengine wengi tu wa filamu. Kwasasa Carrilo anishi mjini Venice, California, na ana mume na watoto wawili wa kike.

Filamu alizoiigiza Elpidia Carrillo[hariri | hariri chanzo]

  • Ladrones y Mentirosos
  • Nine Lives, 2005, Sandra
  • A Day Without a Mexican, 2004, Mexican movie, Cata
  • Kingpin, 2003, mini-series, Lupita
  • Solaris, 2002
  • La Otra, 2002, Mexican telenovela
  • Bread and Roses, 2000, Rosa
  • Things you can Tell Just by Looking at Her, 2000, Carmen
  • La Otra Conquista, 1998, both as Tecuichpo and Doña Isabel
  • They Come at Night, 1998, Maria Velazquez
  • Un Embrujo, 1998
  • The Brave, 1997, Rita
  • De Tripas, Corazon, 1995, Mexican movie, Meifer
  • My Family, 1995, Isabel
  • La Hija del Puma, 1994, Mexican movie, Maria
  • Lightning Field, 1991, made for television movie, Dolores
  • Predator , 1990, Anna
  • Dangerous Passion, 1990, made for television movie, Angela
  • The Assassin, 1989, Elena
  • Una Cita con el Destino, 1988, Mexican movie
  • Predator, 1987, Anna
  • Let's Get Harry, 1987, Veronica
  • Salvador, 1986, Maria
  • Christopher Columbus, 1985, Italian production, mini series, Coana
  • Under Fire, 1983, Saninista
  • The Honorary Consul 1983, Clara, her Hollywood debut
  • The Border, 1982, Maria
  • Bartholome - oder die Rückkehr der weißen Götter, 1982, Indo-German television production, Ms. Anna
  • La Virgen Robada, 1981, Mexican movie
  • El Jugador de Ajedrez, 1980, Mexican movie
  • Winnetu Oule Mascalero, 1980, television series, Wetaton
  • Bandera Rota, 1979
  • Nuevo Mundo, 1978, Mexican movie
  • Pedro Paramo, 1978, as Isabel, Mexican movie
  • Deseos, 1977, Mexican movie

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Elpidia Carrillo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.