Nenda kwa yaliyomo

Eloho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Eloho Jocelyn Efemuai (alizaliwa 20 Julai 1973) ni mwanamke wa kwanza kutoka Afrika kuanzisha kituo cha redio nchini Uskochi.

Ni mtangazaji wa redio, mzungumzaji wa umma, mshauri wa mikakati ya chapa binafsi (personal brand strategist), na mwanamuziki wa asili ya Nigeria na Uskochi. Anafanya muziki wa injili wa kisasa wa mijini (urban contemporary gospel).[1]

Ametoa albamu mbili za studio, Arise (2014) na Unrestrained (2016). Aidha, ameandika vitabu viwili: Start Your Day Right na You Are Not Everyone’s Cup of Tea.[2][3]

  1. Davies, Jono (21 Oktoba 2016). "Interview: Eloho". Louder Than the Music. Iliwekwa mnamo 10 Februari 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Honeyman, Lins (12 Machi 2014). "Review: Arise – Eloho". Cross Rhythms. Iliwekwa mnamo 10 Februari 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Marovich, Bob (25 Mei 2014). "Eloho – Arise". Journal of Gospel Music. Iliwekwa mnamo 10 Februari 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Eloho kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.