Elmar Brok
Mandhari
Elmar Peter Brok (alizaliwa 14 Mei 1946) ni mwanasiasa kutoka Ujerumani aliyekuwa Mbunge wa Bunge la Ulaya (Member of the European Parliament, MEP) kuanzia mwaka 1979 hadi 2019. Alihudumu kama mwenyekiti wa Kamati ya Masuala ya Nje ya Bunge la Ulaya kuanzia 1999 hadi 2007, na tena kuanzia 2012 hadi 2017.
Yeye ni mwanachama wa Chama cha Christian Democratic Union of Germany (CDU), ambacho ni sehemu ya European People’s Party.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Andrew Gardner (5 June 2013), Backing for report calling for overhaul of the EEAS European Voice.
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Elmar Brok kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |